Jamaa kaingia kituo cha polisi
amevimba kwa hasira,
Jamaa: Afande nisaidieni ntamuua mke wangu
Afande: Tulia bwana kwani vipi?
Jamaa: Mke wangu ananiudhi sana, kila siku anakwenda Kisusio Bar analewa halafu anachukuliwa hovyo na mtu yoyote.
Afande: Alaaa, hiyo Kisusio Bar iko wapi?

No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE