Utacheka sana ujue
kiswahili jokes blog
28 June 2012
Kamkonga kako kadoooooogo
Jamaa alikuwa anaoga porini ghafla akakuta amezungukwa na tembo waliokuwa wakimuangalia kwa makini;
JAMAA
: Nyie vipi mnashangaa nini?
TEMBO
: Dah Kamkonga kako kadoooogo, unapumuaje?
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE