Mtu na mkewe walikuwa bado
wamelala asubuhi, mtu akapiga hodi mke akaenda kufungua mlango, si akamkuta
Serengeti Boy wake,
MKE: Unataka nini we
mpumbavu?
MUME: Nani huyo unamtukana?
MKE: Kuna mtu hapa
anakichwa kama nenda urudi badae
Serengeti boy:Nawewe pua
kama poa
MUME: Nani huyo anamtukana
mke wangu?
MKE:Miguu kama masaa mawili
Serengeti Boy:Masikio kama
sichelewi
MKE: Ondoka hapa mjinga we.
Akafunga mlango
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE