Mhishmiwa mmoja baada ya kuugua kwa muda mrefu alienda kupima akakutwa na kansa ya ini. Kila aliyekuja kumuona kumjulia hali alimtangazia kuwa anakufa kwa Ukimwi;
MKE: mume wangu kwa nini unawadanganya watu hivyo? we una kansa ya ini unatangaza una Ukimwi huoni kuwa itaniefekti na mimi
MUME: Haswa hapo ndio penyewe, nisipofanya hivi nikifa tu jamaa watakuoa chapchap, sasa heri niwaachie kitendawili
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE