Mzee mmoja ya miaka 80
alioa kabinti ka miaka 21. Baada ya mwaka binti akajifungua mtoto wa kwanza,
mzee akawa anapita na kujigamba kuwa yeye mashine kubwa. Baada ya miaka miwili
binti akajifungua tena mtoto mwingine, kabla hata hajamuona mtoto akapita
mitaani tena akijisifu tena kuwa mashine kubwa. Alipofika hospitali akamkuta
nesi,
Mzee: Nesi mashine kubwa
nimefika wapi mali zangu?
Nesi: Mzee mashine yako
inatumia mafuta ya Kichina?
Mzee: Kwanini unanuliza?
Mzee: Badilisha mafuta
maana safari hii kazaliwa Mchina
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE