Mwananchi
newspaper by Hamida Shariff, Morogoro
WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harison Mwakyembe amefanya ziara ya kushtukiza katika Kituo cha Mabasi cha Msamvu Manispaa ya Morogoro na kufanya ukaguzi wa mabasi ya abiria ambapo mabasi matatu aliyaamrisha yalipe faini ya Sh250,000 kila moja kutokana na makosa mbalimbali likiwamo la kutokuwa na dereva wa akiba………Pole Mkuu unahitaji pia kuwa na Waziri wa akiba mabasi karibu yote haya dreva wa akiba, kwa kuwa wanansubiri waziri ndo aje awacheki Kwani tandiboi sio dreva wa akiba? ila matandiboi wa siku hizi masharobaro mno, wenzao zamani walikuwaga lazima wawe wachafu na mabingwa wa kushuka gari liko kwenye mwendo na kudandia likiwa kwenye mwendo na ilikuwa lazima basi liwe na kigogo chini ya kiti, cha kusaidia breki

Tanzania Daima by Na Irene Mark
WAZIRI wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, anamwomba Mungu
amuoteshe ndoto za kuwa Rais wa Tanzania…………Ehhh
Mungu nioteshe ndoto na mimi za kuwa na mihela mpaka benki za Uswisi ziwe zina
niogopa
Tanzania Daima By Ashura
Jumapili
MWALIMU Alfred Sitayo ( 32 ), Msubi mkazi wa Kibeta
amehamishia maabara ya shule ya sekondari Nyakato iliyoko Manispaa ya Bukoba
katika kituo chake cha kutoa masomo ya ziada (tuition).
Kamanda wa Polisi mkoani
Kagera, Philp Kalangi, amesema Alfred Sitayo alikamatwa Juni 18 mwaka huu akiwa
na vifaa vya maabara, vitabu mbalimbali, kemikali za maabara ya kemia na viti
ambavyo ni mali ya Shule ya Sekondari Nyakato……..teh teh teh wengine
huhamishia madawa kwenye famasi zao, wengine huhamishia kodi za wananchi kwenye akaunti zao za Uswisi, wengine
huhamishia mapenzi kwenye nyumba zao ndogo kila mtu anakula kivyake
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE