Devi kaenda kwa mtabiri akamuangalie
mambo yake.
MTABIRI: Fungua kiganja nikusome, okay hapa inaonekana una watoto wawili
DEVI: Hapo umebugi step mimi na mke wangu tuna watoto
watatu
MTABIRI: Umebugi wewe, mi naona una watoto
wawili. Muulize vizuri mkeo
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE