Jamaa karudi home na manundu, mkewe kamuuliza
kulikoni?
Jamaa: Yule meneja wa kigrosari hapo kona mshenzi kanivunjia heshma imelazimika nipigane
Wife: Kwani vipi?
Jamaa: Eti bila aibu anajitapa kalala na wanawake wote mtaa huu kasoro mmoja tu.
Wife: He atakuwa nani huyo? Au katakuwa kale kamwanamke kalokole ka pale kona?

No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE