11 July 2012

Binti yangu ni mwanamke

Wababa watatu wamekutana bar, si wakaanza kuongea kuhusu binti zao,
BABA 1: Kuna siku niliingia chumba cha binti yangu nikashanga kukuta kichungi cha sigara wakati najua havuti
BABA 2: Mi nilikuta chupa tupu ya bia wakati najua hanywi
BABA 3: Yangu ndo ya ajabu sana, mi nilikuta kondom ya kiume wakati yeye mwanamke

No comments:

Post a Comment

SEMA USIKIKE