Jamaa
kaamka nyumbani kwake asubuhi baada ya kuwa alirudi kalewa sana jana yake,kichwa kikiwa kinamgonga kabla akili haijaamka sawasawa;
Jamaa:
Amina, tuko wapi hapa?
Mkong'oto
wa nguvu ukamshukia, tatizo lilikuwa dogo tu, jina la mkewe ni Rehema.
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE