Jana nilikuwa katika onyesho tamu la Evans Bukuku, vichekesho kwa kwenda mbele mpaka dakika ya mwisho
.
| Karola Kinasha alikuwa ndiye MC wa shughuli |
| Anwaar alihakikisha video ya shughuli inapatikana na kurushwa on-line na UHURU ONE |
| Kuchekesha raha dah na mimi wacha nianze nipate mafao kama haya |
| Teh teh teh teh |
| Evans hatimae alitoa zawadi, mshindi wa kwanza alipata kamba ya viatu mpya kabisa teh teh teh |
| Mwe we Evans |
| Mshindi mwingine alipata nyoka mpya kabisaaaa |
| Bila hawa mambo yangekwama |
| Evans na my wife wake |
| Hatimae krooooo krooooo kroooo-----The End |
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE