Mama mmoja mbeya alikuwa akimuona Mchungaji anaingia kwenye nyumba ya
jirani yake kila siku, akashindwa kujizuia akamfwata mwenzie;
Mama Udaku: Jirani mambo?
Jirani: Poa
Mama Udaku: Jirani kila siku namuona mchungaji anaingia kwako vipi anakuja kukuombea?
Jirani: Shoga tafadhali achana na mimi. Kwako kila siku kuna Mwanajeshi anaingia, kuna vita kwako? Nijibu, Kwako kuna vita?

No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE