Netwek ya kampuni flani bomu kweli jamaa alikuwa
anachat kwa txt na mpenzi wake
Binti; Hi Babes
Jamaa: Hi luv (msg sending failed)
Binti: Vipi upo
Jamaa: Ndio nipo sweety (msg sending failed)
Jamaa: Ndio nipo sweety (msg sending failed)
Binti: Mbona hunijibu? Uko na mtu?
Jamaa:Mbona nakujibu (msg sending failed)
Binti: Mi naona unadharau sana. Mi nimechoka staki
tena
Jamaa: Pumbavu mkubwa kwenda zako(Msg sent)
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE