Kigogo mmoja wa hishma alikwenda ziara ya kuhamasisha
maendeleo katika mji fulani, akapangiwa hoteli nzuri, ile kuingia kwenye chumba
chake akakuta kabinti kazuri kamelala kitandani kwake. Akanyanyua simu na
kumpigia mwenyeji wake;
KIGOGO: Aise ndiyo nini hii kuniwekea kabinti chumbani? Nimekasirika sana........ Kale kabinti
kusikia hivyo kakaamka haraka na kuanza kukusanya vitu vyake ili kasepe'
KIGOGO: Binti unaenda wapi? Mi sijakukasirikia wewe
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE