Bosi
alikuwa anasafiri akamwita dereva wake Sam amsindikize airport. Wakiwa njiani
kwenda airport, Bosi akakumbuka kuwa kasahau document muhimu nyumbani kwake
akaamuru warudi kwake. Alipoingia chumbani kwake akakuta mkewe yuko bafuni
anaoga, akanyata ili ‘am surprise’, akafungua mlango wa bafu taratibu na
kumshika mkewe. Bibie akiwa na mapovu ya sabuni mwili mzima akaanza, ‘He Sam
mara hii umeshamfikisha yule fala airport?, Usiwe unakimbia hivyo sweetie mie
sipendi , halafu haraka ya nini tuko wenyewe wiki nzima’.
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE