Mtu na mkewe walikuwa wanaangalia sinema moja ya Bongo, Ray alikuwa kamuoa Irene, na kila akiwa anataka kwenda kwenye shughuli zake alikuwa akimbusu mkewe kwa mapenzi;
MKE: Unamuona Ray anavyombusu Irene kila anapotoka nyumbani, kwanini wewe hufanyi hivyo jamani?
MUME: Hata mimi nataka sana kufanya hivyo, ila sijui Irene ntampata wapi

No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE