Sugarmummy kakutana na
sharobaro wa nguvu, akaona kapata bwana, akamtoa out, waka have good time,
chakula safi vinywaji kwa wingi, hatimae wakiwa hoi kwa ulevi wakafika nyumbani
kwa Sugarmummy. Wakiwa chumbani wamepumzika;
SUGARMUMMY:
Ninachohitaji sasa ni mwananume tu
SHAROBARO: Hata mimi
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE