Hafla ya kutoa tuzo maalum kwa Mabloggers Bora iliyokuwa ifanyike Serena Hoteli leo
kati ya saa 11 na saa 2 usiku ililazimika kuaahirishwa baada ya taarifa za
ajali ya meli kuwafikia watayarishaji ambao ni VODACOM. Bloggers mbalimbali
walikaribishwa na kupata picha za pamoja kabla ya taarifa ya ajali kuwafikia na
kusababisha shughuli nzima iahirishwe
at least they did it right this time!...unlike that Miss tanzania crap they pulled last time!
ReplyDelete