7 July 2012

Ushauri wa kisheria laki 3

Mbwa mmoja aliingia bucha akakimbia na kilo 2 za nyama, mwenye bucha akapeleleza na kuambiwa huyo ni mbwa wa jirani yake ambaye ni mwanasheria. Mwenye bucha akampigia simu mwanasheria;
Mwenye bucha: Mheshimiwa mbwa wa mtu akiingia na kuiba nyama toka kwenye bucha inakuwaje?
Mwanasheria: Hapo ni kudai gharama ya nyama
Mwenye bucha: Nakudai shilingi alfu kumi bei ya kilo 2 za nyama alizoiba mbwa wako.
Mwanasheria:Hakuna tabu......baada ya siku 2 akatuma cheki ya shilingi kumi.
Siku 3 baadae Mwenye bucha akapata madai ya shilingi laki 3 kwa kupewa ushauri wa kisheria

No comments:

Post a Comment

SEMA USIKIKE