Jamaa kaenda hospitali kutibiwa, kavimba jicho;
DOKTA: Vipi ulifanya nini hapa?
JAMAA:Ahh bwana mambo yetu yale, nilimkumbatia hauzgelo,
DOKTA: Hapo sijaelewa kumkumbatia hausgelo inaletaje kuvimba jicho
JAMAA: Si waif akaingia ghafla, we nitibu bwana acha maswali.

No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE