Mwalimu wa shule ya msingi alisikia Mkaguzi wa
shule anakuja, basi akawatayarisha wanafunzi wake chapchap. Mkaguzi alipofika
akawajaribu watoto kama wanaelewa kiingereza;
Mkaguzi: Stand Up, what are you doing?
Wanafunzi: We are standing up
Mkaguzi: Sit down, what are you doing?
Wanafunzi: We are sitting down. Mkaguzi akashtuka kuwa hawa wamekaririshwa tu;
Mkaguzi: Hands up, what are you doing?
Wanafunzi: We are handsing up
Mkaguzi: Stand Up, what are you doing?
Wanafunzi: We are standing up
Mkaguzi: Sit down, what are you doing?
Wanafunzi: We are sitting down. Mkaguzi akashtuka kuwa hawa wamekaririshwa tu;
Mkaguzi: Hands up, what are you doing?
Wanafunzi: We are handsing up
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE