JAMAA: leo wiki endi mbaya sana, lazima nirudi home nimelewa njwiii
JAMAA2: Kwa nini mshkaji?
JAMAA: Mke wangu alikuwa kanambia haongei na mimi wiki 2
JAMAA2: Ndio ulewe leo tu?
JAMAA: Wiki mbili zinaisha leo
JAMAA2: Kwa nini mshkaji?
JAMAA: Mke wangu alikuwa kanambia haongei na mimi wiki 2
JAMAA2: Ndio ulewe leo tu?
JAMAA: Wiki mbili zinaisha leo
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE