Nasikitika kukutaarifu kuwa elimu yako yote uliopata ipo kwenye mfumo wa analogia, kwa hiyo kufikia Desemba 31, ulivyosoma vyote vitafutika kwani mfumo huo unazimwa na mfumo wa dijitali unawashwa. Ili uingie katika mfumo wa dijitali, wahi kujiandikisha chechekea kabla shule hazijaanza
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE