Mtoto kapelekwa hospitali na mdingi wake,
dokta akawa anamuandikia dawa, mara baba yake akatoka nje kuongea na simu.
Mtoto akamuinamia daktari akamwambia kwa sauti ya chini chini, 'Dokta
kwenye dozi andika Fanta Baridi,chips na kuku kila siku kwa siku
30,kutwa mara tatu'
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE