MTEJA: Nipatie chips mayai
MKAANGA CHIPS: Niweke tomato?
MTEJA: Chili tomato. ….Mkaanga chips akatengeneza chips mayai safi
na kuweka chilli na tomato nyingi akampelekea mteja
MTEJA: Chacha hiki nini njomba?
Nimekwambia chili tomato we umeweka chili nyingi na tomato nyingi, kama chio
chalau ni nini njomba?. Chacha kula wewe mimi nletee nyingine ukiweka tomato
mimi chili
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE