NINA ndugu yangu mkazi wa hapa Sinza Mori, kanambia aliamua kwenda kuungama dhambi zake kwa
padri , akaona ni heri aandike dhambi zake kwenye karatasi ili azikumbuke zote, sasa
kapoteza karatasi, hajui kama imeokotwa na wanae au mkewe au majirani. Kifupi
kapoteza dhambi zake.Tafadhali ukipita mitaa hii ukiona karatasi imeendikwa...
-Nilisema uwongo kwa mke wangu mara kumi
-Nilifanya uasherati mara mia
-Sikwenda kanisani Jumapili nyingi
-Nilizini na mke wa jirani yangu na kadhalika nitaarifu
tumrudishie jamaa dhambi zake.
-Nilisema uwongo kwa mke wangu mara kumi
-Nilifanya uasherati mara mia
-Sikwenda kanisani Jumapili nyingi
-Nilizini na mke wa jirani yangu na kadhalika nitaarifu
tumrudishie jamaa dhambi zake.
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE