Ukiwa unafanyiwa operesheni, kwa bahati mbaya ukazinduka ghafla, ukasikia Dokta akisema chochote
kati yafuatayo, ujue operesheni yako imeshakuwa soo….
1. "Aise
nesi ukurasa 43 wa maelezo haupo sasa hapa italazimika tutumia ujanja tu"
2. "Hicho
kinyama msikitupe kitatusaidia kutoa maelezo kwa nduguze"
3. "Nesi acha ubishi, hii
haiwezi kuwa bandama, maana kama hii bandama hii huku chini itakuwa nini?"
4.
"Nani
kanionea saa yangu? hebu cheki hapo chini ya maini"
5. "Jamani mikasi si ilikuwa mitano? Au huo mwingine tumeushonea ndani?"
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE