Majambazi yaliingia katika nyumba moja kuiba. Mwenye nyumba akaamka na
kwa ujasiri mkubwa akachukua bunduki ya kuchezea ya mwanae na kuwatisha
majambazi wenyewe wakawa wapole, akawaketisha chini, na kuanza kupigia simu polisi. Wakati mzee anaita polisi huku
akiwalenga majambazi kwa ile pisto ambayo wao walidhani ni ya kweli, mtoto
wa mwenye nyumba akaamka;
DOGO: Baba nataka kwenda chooni
BABA: Nenda tu mi nimewakamata hawa wezi nangojea polisi waje
DOGO: Haoooo mikubwa mizima mnaogopa binduki yangu ya kuchezea......baba mkojo ukamtoka ghafla
DOGO: Baba nataka kwenda chooni
BABA: Nenda tu mi nimewakamata hawa wezi nangojea polisi waje
DOGO: Haoooo mikubwa mizima mnaogopa binduki yangu ya kuchezea......baba mkojo ukamtoka ghafla
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE