Bikizee kasikia ‘Izrail mtoa
roho’ anasaka vizee zaidi akaona ajifanye mtoto mdogo ili asipatikane. Akaanza
kula vyakula vya kitoto na kuongea kitoto. Siku moja wakati anakula Celelac,
Izrail akamshukia.
IZRAIL: We unafanya nini?
BIKIZEE: Atula nyamnyam
IZRAIL: Haya tula upechi toto
njuli alafu twende kutembea mjini achikia?
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE