Kumekuwa na kurasa (accounts) mbalimbali zenye jina la
John Kitime, raia mzuri tu wa Tanzania katika mitandao ya kijamii Kama vile
Facebook,Twitter,Instagram nk.
Zinazoonyesha kuwa mmiliki wake ni John Kitime.
Ukweli ni kwamba hizo kurasa zote zinamilikiwa na Bw
Kitime.
Kwa maana hiyo chochote kinachoandikwa au kuchapishwa
kwenye kurasa hizo,kinahusiana nae.
Hata hivyo Bw Kitime anawashukuru wote wenye kuzipitia account
hizo bila ya ruhusa yake, kwani anaamini wamesukumwa na mapenzi yao kwake.
Imetolewa na
Ofisi ya Kitime
Iringa Mjini.
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE