Jamaa alikuwa njiani
anaenda kanisani, si akashtuka kukumbuka kuwa ameacha simu yake
nyumbani. Haraka akageuza njia na kurudi nyumbani, alipofika
home presha ikiwa juu, jasho jembajemba likimtiririka, bahati nzuri akakuta mkewe hajaamka. Akaichukua simu
yake na kuvunja safari ya kwenda kanisani akaanza kuangalia TV, mkewe
alipoamka akamkuta jamaa kajaa tele sebuleni,
MKE: Jamani si nilidhani umeenda kanisani?
JAMAA: Mchungaji kanitext kasema leo hakuna ibada.
MKE: Jamani si nilidhani umeenda kanisani?
JAMAA: Mchungaji kanitext kasema leo hakuna ibada.
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE