Kwenye whatsapp jana;
MKAKA: Nakupenda sana
MDADAA: Lol
MKAKA: NIngependa kuishi nawe
MDADA: Lol
MKAKA: Sidhani kama nitaweza kuishi bila wewe
MDADA: Lol
MKAKA: Nikununulie iPhone 6 au iPhone 7?
MDADA: iPhone 7
MKAKA: Lol
MDADA: Lini utaniletea
MKAKA: Lol
MDADA: Si unijibu basi
MKAKA: Lol
MDADA: Sasa hiyo Lol ndio nini?
MKAKA: Lol
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE