Chizi alivua nguo na kuanza kukimbiza wanyama porini. Wanyama wote wakaanza kukimbia hovyo, fisi si akamkuta simba nae anakimbia kwa woga;
FISI: He hata wewe mfalme wa wanyama unakimbia?
SIMBA: Usilete masihara hii ni hatari we uliwahi kuona mnyama ana mkia mbele? Wacha wewe.
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE