Jamaa kenda kwenye bwawa la maji lililokuwa nyuma ya nyumba
yake akateke maji, kufika huko kakuta kuna akina mama kadhaa wanaogelea kwenye bwawa;
JAMAA: Nyie tokeni humo kwenye bwawa langu
AKINAMAMA: Hatutoki mpaka uondoke
JAMAA: Poa, isiwe tabu naondoka. Mi nilikuwa nawaletea
chakula mamba wangu ambao nimewafuga humo……..
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE