Babu mwingine kaibuka huko Iringa,
yeye anatoa dozi ya kukufanya usizeeke. Na ametangaza kuwa yeye mwenyewe ana umri wa
miaka mia tatu.
Waandishi wetu wenye busara waliona wamuhoji msaidizi wake
mmoja ili kupata ukweli kuhusu dawa za babu huyu;
Mwandishi:Ndugu msaidizi unaitwa nani?
Msaidizi:Naitwa Ndundami
Mwandishi:Je, ni kweli huyu babu ana miaka mia tatu?
Msaidizi:Kiukweli sina uhakika, maana mi nimefanya kazi kwake kwa miaka mia
mbili tu
ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ReplyDeleteLol! We mzee umeshindikana!
ReplyDelete