Majaji walitoa uamuzi ulikubaliwa na wote hongera |
Mmoja wa washiriki akiwa katika vazi la ubunifu alilotuambia lilibuniwa na mama yake mzazi, hongera mama mzazi kwa kivazi |
Twanga Pepeta walikuweko na hatimae kunipa lifti ya kurudi Dar. Hongera Twangaz na Kupepetaz hasa.................teh teh |
Washindi wa Redds Miss Kanda ya Kati 2012...Hongereni pia hongera kwa Kiinglish chenu |
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE