Jamaa
alikuwa bizi anafanya mazoezi kando ya barabara, baada ya jogging na kuruka
kichura akaamua kupiga push-up. Wakati anaendelea na push-up, mlevi moja akiwa
njwiii akamsogelea na kumuangalia kwa makini kisha akamwita;
Mlevi: Bradha, bradha, subiri kidogo bradha, hapa ni sehemu hatari.
Jamaa: Nini tena wewe mlevi?
Mlevi: Okay mi mlevi lakini nilitaka kukujulisha naona unananihii peke yako, vibaka wamekwisha kuibia demu wako, angalia mwenyewe hapo chini

No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE