Babu
mwingine kaibuka huko Iringa, yeye anatoa dozi ya kukufanya usizeeke. Na ametangaza
kuwa yeye mwenyewe ana miaka mia tatu. Waandishi wetu wenye busara waliona
wamuhoji msaidizi wake mmoja ili kupata ukweli kuhusu dawa za babu huyu;
Mwandishi: Ndugu msaidizi unaitwa nani?
Msaidizi: Naitwa Ndundami
Mwandishi: Je, ni kweli huyu babu ana miaka mia tatu?
Msaidizi: Kiukweli sina uhakika, maana mi nimefanya kazi kwake kwa miaka mia mbili tu

No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE