Ilikuwa ni wakati wa enzi za Mwalimu
wakati kulikuwa na mgao wa karibu kila kitu, mkate, sukari, mafuta, sabuni, ilikuwa lazima kuwahi kupanga foleni kwenye duka la Kaya. Jamaa karudi nyumbani kamkuta
mkewe kitandani na mwanaume mwingine, jamaa akaja juu sana, “We mwanamke vipi?
Unapoteza muda wako hapa wakati wenzio wamepanga foleni ya mgao wa sukari, hebu
vaa kawahi foleni’
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE