Jamaa karudi ghafla nyumbani si akasikia sauti za
ajabu toka chumbani kwake, akapiga ukelele na kuvunja mlango akamkuta mkewe
akitetemeka;
JAMAA: We vipi?
MKE: Presha imepanda.
JAMAA: We vipi?
MKE: Presha imepanda.
Jamaa akakimbia sebuleni ili apige simu ambulensi ije
wakati anahangaika kutafuta namba ya simu, mwanae akaja;
MWANA: Baba anko yuko uchi
kwenye kabati chumbani. Jamaa akatupa simu na kurudi chumbani alipofungua
mlango wa kabati kamkuta mdogo wake kabatini bila nguo.
JAMAA: Na wewe vipi unazubaazubaa bila nguo wakati mke wangu ameshikwa na presha. Vaa upesi kaite ambulance
JAMAA: Na wewe vipi unazubaazubaa bila nguo wakati mke wangu ameshikwa na presha. Vaa upesi kaite ambulance
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE