Mtoto karudi nyumbani kwao na sura ya unyonge sana;
MAMA: Vipi mbona hivyo kuna nini huko?
MTOTO: Hiyo nyumba ya jirani lazima ni maskini sana
MAMA: Kwa nini?
MTOTO: Mtoto wao kameza shilingi mia nyumba nzima wamepanik, je angemeza shilingi elfu kumi?
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE