Utacheka sana ujue
kiswahili jokes blog
8 July 2012
Habari nzuri na mbaya
MCHUNGAJI
: Leo nina habari nzuri na mbaya kuhusu michango ya ujenzi wa kanisa letu. Habari nzuri ni kuwa tunazopesa za kutosha kumaliza ujenzi huo. Habari mbaya ni kuwa pesa hizo bado ziko mifukoni mwenu
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE