YUSI: Aise dokta nyie mnapenda sana
hela mi nataka ung'oe jino bila kuleta vimbwanga vyenu, mnavyofanya kusudi tu
ya kupata hela.
DOKTA: We unatakaje?
YUSI: Hivi kung'oa tu bila ganzi
wala nini, itakuwa shilingi ngapi?
DOKTA: Mia tatu tu, japo si
ungejitahidi uongeze alfu mbili mia tatu ung'oe na ganzi?
YUSI: Hapana fanya hiyo ya mia tatu.
DOKTA : Dah haya kaa hapo kwenye
kiti
YUSI: Hapana sio mimi, ni mke wangu.
Mama Devi njoo upate matibabu
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE