Jamaa kapita pembeni ya nyumba ya
ghorofa moja, si akaangukiwa na condom imetumika. Kwa hasira akaenda kupiga
hodi kwenye nyumba ile, akatoka mtu mzima mmoja;
Jamaa: Nauliza nani anaishi hivyo
vyumba vya juu?
Mwenye nyumba: We chizi nini
inakuhusu nini?
Jamaa: Nauliza tena nani anaishi
huko juu?
Mwenye nyumba: Anaishi mwanangu na
mkewe
Jamaa: Basi haya mchukue mjukuu wako huyu, kanidondokea kichwani..akamkabidhi condom
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE