DOGO: Samahani, saa hizi saa ngapi?
BAUNSA: Saa nane na nusu
DOGO: Ok, ikifika saa tisa kamili, nitakushika tako
BAUNSA: Umesema nini we mtoto? Baunsa akaanza kumfukuza yule mtoto, baada ya mitaa miwili mtoto akakimbilia kwenye nyumba ya babu mmoja aliyekuwa amekaa nje anaota jua, Baunsa nae akafika pale;
BAUNSA: Babu nakitaka kile kitoto kilichokimbilia humu kwako
BABU: Kwani kuna nini unakifukuza hivyo
BAUNSA: Hiki kitoto kimesema eti ikifika saa tisa kamili kitanishika tako
BABU: Sasa wasiwasi wa nini mbona saa tisa bado?
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE