Wabongo wengi wana sifa zinazofanana
1. Usishangae kabinti hakakujui nawe hukajui kanakuita ‘anko’
- 2. Mkaka asiyekujua humjui anakuita ‘Anti’
- 3. Ukimtembelea mtu home asilimia 90 ya CD na DVD zake ni fake
- 4. Kama aliwahi kusafiri nje, mbongo lazima utamkuta na vichupa vya shampoo toka kwenye hoteli alizolala, au alivyopewa kwenye ndege
- 5. Mbongo utamkuta ana ndugu zake wengine hawajaongea miaka zaidi ya mitano kwa visa vya kitoto
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE