3 July 2012

We ni dokta wa mifugo bwana

Madokta wawili walikuwa katika mazungumzo
DOKTA 1: Nikwambie siri, mwenzio jana kwa mara ya kwanza nimelala na mgonjwa wangu
DOKTA 2: Aise we huna maana kabisa, umewezaje kufanya kitu cha kishenzi kama hicho? Sikupendi kabisa
DOKTA 1: Mbona unakuja juu namna hiyo kwani mie ntakuwa daktari wa kwanza kulala na mgonjwa?
DOKTA 1: Usijitete bwana we ni tofauti bwana, we ni daktari wa mifugo 

No comments:

Post a Comment

SEMA USIKIKE