Mjingamjinga
mmoja alinunua tiketi ya bahati nasibu kwa shilingi 500 akashinda shilingi
milioni 20. Haraka akaenda ofisi ya bahati nasibu, nao wakacheki na kukubali
kuwa tiketi yake imeshinda.
Mjingamjinga: haya nipeni milioni 20 zangu.
Bahati nasibu: Sheria yetu hapa tunakupa leo milioni na kila mwezi unakuja kuchukua milioni moja mpaka ziishe.
Mjingamjinga: Msinibabaishe nipeni nilipeni milioni 20 zangu
Bahati nasibu: Bwana hiyo ndiyo sheria yetu
Mjinga mjinga: Bwana e kama ni hivyo basi chukueni kitiketi chenu nirudishieni mia tano yangu wajinga wakubwa.

No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE