5 July 2012

Nipisheni aliyegongwa baba yangu

Bonge ya ajali ilikuwa imetokea, watu wakawa wamejazana wamezunguka, mwandishi mmoja akiwa katika harakati za kutafuta stori akaona atafute njia ya kufika mbele, akaanza,'Samahani jamani nipisheni, aliyegongwa baba yangu'. Watu wakampisha alipofika kuona majeruhi akakuta ni mbwa kakanyagwa na gari.

No comments:

Post a Comment

SEMA USIKIKE