Mheshimiwa mmoja aliombwa kutoa hotuba fupi kabla watu hawajaanza kula. Hotuba yake fupi ikaendelea kwa dakika kumi na bila kuonekana inakwisha. Jamaa mmoja akachukua kikaratasi akaandika ujumbe mfupi na kuomba watu wamfikishie mheshimiwa. Mheshimiwa aliposoma tu ujumbe akakatisha hotuba kwa kuwaruhusu watu waanze kula. Watu wakamuuliza jamaa ulimpelekea ujumbe gani? Nilimuandikia,'Samahani zipu yako iko wazi'.
No comments:
Post a Comment
SEMA USIKIKE